- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- redhot@storymojaafrica.co.ke
Katika ulimwengu ambapo mila aghlabu huzima ndoto, Neelai. msichana kutoka kijiji kidogo, anathubutu kupinga hali hiyo. Akikabiliwa na tishio la ndoa za mapema na desnuri zenye madhara, anaanza safari ya uvumilivu na uwezeshaji. Akiongozwa na mshauri wake. Neelai anageuza mapambano yake kuwa dhamira yenye uthabiti: kuelimisha na kuinua hali za wasichana kama yeye. Baadaye, anakuwa nyota ya matumaini kwa jamii yake.
Jiunge na Neelai katika safari yake ya "Kuwezesha Mabadiliko," simulizi ya kusisimua ya ujasiri, uvumilivu na juhudi zisizokoma za kujenga mustakabali mzuri. Sautififi ni hadithi ya harakati ya ukombozi yenye azma ya kuunda ulimwengu ambapo kila msichana ana fursa ya kufanikiwa.