- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- redhot@storymojaafrica.co.ke
Account
Sandeep ana hamu ya kuwatazama kasa wakianguliwa ufukweni pamoja na babu yake. Sasa babu yake ni mgonjwa na mayai ya kasa yametoweka. Je, yeye na marafiki zake wadogo
wataweza kufumbua fumbo hilo?