- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Saitoti, mwenye umri wa miaka mitano, amepotea na yuko peke yake katika eneo kubwa la Maasai Mara, mbali na kijiji chake cha Maasai. Jua linapoanza kuchwa, macho yanayong'aa yanamwangalia kutoka kwenye nyasi ndefu. Kinachotokea baadaye kitabadilisha maisha yake milele.