online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Pandashuka

Pandashuka

Pandashuka ni mradi wa Storymoja wa awamu ya pili. Mradi huu unadhamiria kuwachapisha watoto kazi zao za kiubunifu. Hizi ni kazi za watoto wenye umri wa kati ya miaka 10 na 13 kutoka shule mbalimbali za msingi nchini Kenya.

Kitabu hiki kina upekee kwamba waandishi wake ni watoto ambao wamepata fursa ya kuchangia katika kuzungumzia masuala mbalimbali yanayoikumba jamii ya Kenya na Bara la Afrika kwa jumla.

Tungo zilizomo ndani ya kitabu hiki kimejikita katika mada kuu ya wanyamapori lakini huangazia maudhui mbalimbali kama vile utalii, vita dhidi ya ufisadi, vita dhidi ya uwindaji haramu, turathi za Kenya, utunzaji wa maliasili, uzalendo, uadilifu na uwajibikaji.

Author:
Multiple Authors

Parents are also buying

KSh 750.00
KSh 2,450.00
KSh 780.00
KSh 1,750.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.