- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Smart Beginners Cheche za Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi kwa Gredi ya 3 kimeandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye ruwaza ya Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji. Shughuli zilizopendekezwa katika kitabu hiki zitamwezesha mwanafunzi kuwa na umilisi wa stadi mbalimbali.
Sifa zake kuu:
Kitabu hiki kimeandamana na Mwongozo wa Mwalimu wenye maelezo ya kina.