- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 7-8 (Gredi 3). Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza uadilifu Mada: Kujifunza kufanya jambo sahihi
Neema na furaha wamechelewa shuleni. Furaha anataka tu waingiie shuleni waadhibiwe na kuendelea na masomo. Neema ana wazo tofauti. Anataka wakwepe adhabu na, hatimaye, waingie darasani, kisiri. Je, mpango wa Neema utafaulu? Soma hadithi ujue yaliyowapata marafiki hao.