- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto kujiamini kila wakati.
Nyani Mkubwa anataka kutambulika kama shujaa. Anawadhihaki wale anaokisia kwamba hawana nguvu kama zake, hususan Ndovu na Panya. Wanyama wanapokumbwa na hatari, ni nani anayeitwa kuwaokoa? Je, ni nani
anayedhihirisha ushujaa wa kweli?