- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 6-7 (Gredi 1&2). Ni kitabu kinachofundisha watoto daima kuwa waaminifu na kuheshimu mali za watu wengine.
Azizi na baba wanaona maajabu wanapotembelea duka la waganga. Mganga anafanya miujiza ambayo inabadili makaa kuwa mawe ya ajabu. Je, Azizi atatumia mbinu gani kupata mawe hayo?