online bookstore delivery

Swift Delivery

Your convenience, our priority

Holiday Value Packs

Holiday Value Packs

7 Storybooks for 7 weeks

safe shopping with storymoja

Safe Shopping

Pay with Mpesa, Visa..

excellent customer service

Customer Service

We are happy to serve you

Cheche Za Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi Ya 7

Cheche Za Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Gredi Ya 7

Cheche za Kiswahili kwa Gredi ya 7: Kitabu cha Mwanafunzi ni kitabu kilichoandikwa kwa kuzingatia yaliyomo kwenye Mtaala wa Kiumilisi (CBC) ili kumfaa mwanafunzi kutekeleza shughuli mbalimbali za ujifunzaji.

 

Manufaa ya kitabu hiki

 

  • Vipengele vyote vya mada mbalimbali kwa mujibu wa mtaala mpya.
  • Ujumuishaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika shughuli za ufunzaji na ujifunzaji wa lugha.
  • Matini ya kimuhtasari kuhusu kila mada ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa upesi dhana anazojifunza.
  • Mapendekezo ya nyenzo mbadala zinazoweza kufaraguliwa kwa vifaa vinavyopatikana katika mazingira ya mwanafunzi.
  • Shughuli za nyumbani zitakazosaidia kujenga mahusiano ya kiushirikiano kati ya shule, familia na jamii kwa jumla.
  • Tathmini za kibinafsi baada ya kila mada ili kuwasaidia wanafunzi kupima ujifunzaji wao wa maarifa, ujuzi namaadili.
  • Shughuli tagusani zinazowashirikisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu.
  • Masuala mtambuko yamejumuishwa katika shughuli za ujifunzaji.
Author:
Dan Bobea, Francis Waititu, Beth Nkatha, Tabitha Manzi, Modgen Chisia

Parents are also buying

KSh 750.00

Get Our Newsletter

Sign up to our newsletter to be the first to receive news and special offers.